Tuesday, October 6, 2009



HAPPYBIRTHDAY ERRAH!
Uongozi mzima wa kakakuona entertainment ltd company unakutakia b'day njema
na maisha marefu yenye baraka tele! Pia kampuni inakupa nafasi ya kuwa Mwanasheria
wa kampuni pindi utakapomaliza masomo yako!
Akhsante.

By: C.E.O
Mwijukwa Besisila
kakakuona ent ltd company.
P.o B.o.x 58
Dar es salaam
TANZANIA.

one love!!!!

fiesta iz banging in tz!
''lile tamasha kubwa la fiesta limeanza tena na sasa
lipo mkoani arusha na baada ya hapo ni tanga, dom na kisha
kumalizikia katika jiji l,a kandoro dar eds salaam.,,;


by; mwijukwa(c.e.o kakakuona ltd company)

Monday, October 5, 2009

RAIS KIKWETE MGONJWA......???????

WATANZANIA WABAKI MIDOMO WAZI!
  1. HII NI MARA YA TATU KUZIDIWA AKIWA JUKWAANI
  2. MARA YA KWANZA AKIWA KIBAHA SEKONDARI
  3. PIA SIKU AKIWA KATIKA MKUTANO WA KUJINADI JANGWANI
  4. JANA TENA AMETAKA KUANGUKA MWANWA...............!
  5. WATANZANIA WAHOJI KULIKONIIIIIIIIIII????????????

BONGO FLEVA!!!!!!!!!!!!!!

MR. BLUE AGOMBANIWA KAMPALA........?????????????
wanamuziki kipenzi cha wakina dada anaetikisa na bonge
la song lijulikanalo kama tabasam alilomshirikisha kijana
anaekuja kwa kasi ya ajabu steve, jana usiku wa manane
alikuwMa katika wakati mgum katika jiji la kampala pale
warembo wa kiganda walipokuwa wakigombea..............!
kwa habbari zaidi, jiunge na tovuti hii ili uweze kuhabarika
Bold by; mwiju( c.e.o kakakuona ent.ltd)

UBALOZINI KUWAKA MOTO WIKI HII...!!!!!!!